Huko faraghani ni ibadani.
Faragha ni mahala pa kufanya ibada,,jengo lenyewe ndio linaitwa faragha.
Dar zipo faragha nyingi.
Pale mwanzo nimesema Uwata siyo kanisa Wala dhehebu.,kwahiyo hakuna mchungaji,askofu Wala kanisa.
Uwata kirefu chake ni Uamsho Wa Wakristo Tanzania.
Mtu wa dhehebu lolote anaruhusiwa kwenda kujumuika kwenye huo Uamsho
Inawezekana hujawahi kuwasikia lakini umewahi kuwaona ila hukujua kama ndio hao.
Wanawake huwa wanavaa nguo za marinda.