Sasa huyo mamba tu unaogopa?
Katika pitapita tulikuta chatu amembana mbwa, nilirekodi video ni kubwa siwezi share...
Yule mbwa ili kumuokoa ilibidi tuanze ku deal na chatu, later huyo jamaa akaja na panga akamchinja chatu... same day nikakutana na mamba.. hio place kuna kenge,chatu na mamba...
View attachment 2003003