Selfika na JF: Snap it. Show it

Malaika wanaimba Bwana wastahili Bwana wastahili Bwana
Wanakuabudu wanaimba Bwana wastahili Bwana wastahili Bwana
Wanaima wanaimba Bwana wastahili Bwana wastahili Bwana

Bwana kiti chako ni cha ajabu sana ni ajabu
Kimezungukwa na utukufu ni cha ajabu sana ni ajabu

Bwana ni wewe tu
Ni wewe tu
Wastahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…