Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeh mwaka juzi ulikua mwaka wa kwanza?

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
ulikuwa unaandika nondo??? Legendary Depal Umenishinda tabia,, nikijenga hall of fame jina lako lazima liwepo
 
Nilikwenda kusoma mahali aisee siku ya kwanza tu darasani bonge la homework tena ngumu kweli kweli. Nilishangaa sana lakini kumbe ndo utaratibu wao. Hakuna kupoteza muda!
Tumepewa assignment ya kuandika business plan,, sasa najiuliza biological science na entrepreneurship wapi na wapi
bado cjapata jibu
 
Daaaamn,, hail to the saint
 
Tumepewa assignment ya kuandika business plan,, sasa najiuliza biological science na entrepreneurship wapi na wapi
bado cjapata jibu
Hii assignment'Bsness plan imenikumbusha nilivyofata desa UDOM na nikaja ambulia 5/10 😂

Ilikuwa tunaandika idea unampelekea, ukipeleka anakwambia this is taken katafute nyingine. Alitusumbua sana mpk tukahisi kaokota mtaji anatafuta ideas mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…