Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1]
Nitajitahidi kesho niweke picha.


Habari ya kusuka ni changamoto ..mimi huwa sipendi kuwashwa washwa kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya tusubiri picha hiyo kesho
hair spray huwa zinasaidia kiasi ...

Changamoto kweli , kwa mfano ukisuka vitunguu unapendeza balaa ila maumivu sasa .
 
Haya tusubiri picha hiyo kesho
hair spray huwa zinasaidia kiasi ...

Changamoto kweli , kwa mfano ukisuka vitunguu unapendeza balaa ila maumivu sasa .
Vutunguu sijui nitasuka lini tena,
Nadhani hadi Yesu ashuke.


Spray ninayo,
Huwa napuliza kipilipili changu nikishakichana.
Kinang'aa kama sio kipilipili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah jamani ,
mawigi mazuri ni yale ambayo unaweza bana kwa chini , unakuwa huru kidogo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…