Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha umenikumbusha kitu , wakati nasoma chuo nilikuwa mvaa mawigi sana ,
Ile naingia kwenye dala dala baada ya kutoka kwenye vipindi najilaza huyo natoa wigi maana sio kwa joto hilo ,mtu anabaki kushangaa nini hichi
.
Kuna dada alishadondosha wigi kwenye mlango wa kuingia lecture room

Yaani enzi hizo first year siku za mwanzo,Watu wanaona sifa kuwahi kuingia ..naye yupo anagombania kuwa wa kwanza ..Aisee Watu walivuta wigi ,ndani ana tumabutu kichwani kama tu nzi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…