Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,935
- 136,698
WanakujaMe simjuilabda kama yeye ananijua na id nyingine.
Nileteen hao mods![]()
![]()





WanakujaMe simjuilabda kama yeye ananijua na id nyingine.
Nileteen hao mods![]()
![]()





Na iwe hivyo kabisaaaa😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndio maana naipendaga tu filter ya B&W ili siku ya siku mtoto wa mtu asipate sonono kubwa.
Kajisemea Sky tuache kuchat na nyie kwa muda 😂
Ata iwe hivyo,sasa kuna ulazima wa kumtangaza mdada wa watu?Saingine hizi picha nazo huwa zinadanganya. Unaweza zani pisi kali, mkikutana live, ni bibi kidude. Mpaka unachoka mwenyewe.
Si wenyewe twachoka eti ila tunavumilia na hatuwashikii bango, ila nyie sasa 😂Saingine hizi picha nazo huwa zinadanganya. Unaweza zani pisi kali, mkikutana live, ni bibi kidude. Mpaka unachoka mwenyewe.
Attention seekers, hakuna kingine.Ata iwe hivyo,sasa kuna ulazima wa kumtangaza mdada wa watu?
Tatizo hata huyo G mwenyewe simjuiDepal umeachana na G!!!!
Hongera sana ChiefMimi ndio nimetoka hapa jogging 11km.
Ngoja aje alithibitishe hili sasa hivi nabadilisha jina
Hivi hivi nilivyo au nipungue kidogoNatamani niwe choo chako uwe unanikalia tu.
Kweli kabisaAttention seekers, hakuna kingine.
KajichanganyaTatizo hata huyo G mwenyewe simjui

Kwani Saint Anne analizungumziaje hili Shem darling?




Mi, hayo mambo ya kutangazana huwa sina, kwanza huo ni ushamba tuu.Ata iwe hivyo,sasa kuna ulazima wa kumtangaza mdada wa watu?
Kifua kipo vizuri! Vijana wakianza kula mema watafaidi sana![]()





