Selfika na JF: Snap it. Show it

Akisema ni mchumba wa nani humu JF hakyamama tena natembea utupu kwenye mwandiko😁😁utajua hujuiπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

Mwanamke kamili hawezi sema hii kitu hadharani Shemdarling niamini.
🀣🀣🀣🀣🀣 Nilipitwa na hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ™ˆ

Chakorii umenikumbusha this girl tulifanyaga kazi flani hivi pamoja. Sasa boss wetu alikuwa boss kweli (awfully good looking, very well established, fashionable kinoma) ila mshkaji sana. Yani hana mbwembwe kabisa....sasa sijui this girl sijui alikuwa amezingua nini so boss akamuuliza au umemmiss sana babe wako mpaka kazi inakataa?? And she outright said "MI SINA BOYFRIEND!!!"

Baadae tukamuuliza duuude...mbona unasema uko single and you are not. Akatuchana eti kuna watu hata kama iweje hutakiwi kujidai eti ushachukuliwa. Akajazia we ukikutana na Diamond saa hizi unamuambia una mtu???

I was just like πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 

Umesema utupu wa mwandiko, natamani kuona unafananaje
.

Ila bahati mbaya Lizzy hajataja mcchumba wake
,

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁utachonga viazi.

Sio Lizzy tu hata kama ningekuwa ni mimi trust me nisingelimtaja wala kuwa na mategemeo ya kumtaja

Listen mtakatifu wangu kuna mambo lazima yabaki kuwa sirini.kuna watu humu ndan wapo ..tena wapo sanaaaa lakini hawataki kujulikana Kabisa na ukifanya kitu cha kuwafanya wajulikane Hapo hapo unawapoteza.so inabidi tujifunze kuwa na breki ya maneno..tujifunze kuto kuropoka itatusaidia pia kukutana na watu wa maana wakatupatia koneksheni za maisha
 


Kweli umemenena vizuri .
Hata ningekuwa mimi nisingeweza kutaja.

Mambo ya kumtangaza mtangaza mtu baadaye kitumbua hutiwa mchanga



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali mmewauza. Mlisumbua saaana.
Mlimufanya dada yangu Shadeeya asiwe na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…