πππ
mie sina cha kusema, nikubishie nikose ubwabwa xmas, niko smart, najua unataka nikujibu,tubishane uni trim xmas nisije..
nishajua na play smart.. siku ile ulitaka unipe kesi eti nimesema sunset yako mbaya.. nikaipangua, najua kuna mengi yanakuja..ππ
nimejiandaa, walisema mtaka cha uvunguni...................................
niko hapa nasikiliza acha nikae kimya ya Diamond