100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,569
🤔Chukua na huo
Isaya5:11
Ole wao waamkao asubuhi na mapema,wapate kufuata kileo;wakishinda sana hata usiku wa mane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao.View attachment 1984809
Okee[emoji848]
Sijafikia hizo level.
Hapa penyewe nimekunywa divai lakini si kiviiiileee..
Hahaa huwa nawekaga mara kwa mara na siku hizi nimeacha kufuta Kwahiyo kuna nyingine huko nyumaNdo mara yangu ya kwanza hii ai swea. Uko unique sana na kila siku nilikuwa natamani kuona japo kiwiko. Siku ile niliishia kuona nguo za kazi tu. Leo angalau afadhali umejitahidi sana. Siku moja ujitahidi uondoe na hicho kitambaa kabisa...
Mbweni 🙂Wapi huku kuzuri hivi?
😂😂😂😂 nipo nipo tuUmepotelea wapi dogo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo nipo tu
Hahahahaa....Haka kajamaa kanafurahishaga sana[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1984811
Yaani nilicheka Sana.Hahahahaa....Haka kajamaa kanafurahishaga sana[emoji3]
Habari za asubuhi mpendwa
Mandhari nzuri sana.
Kabla shetani hajaikalia cherehani[emoji23]Kabla shetani hajaingia mjiniView attachment 1985008
Hapo hewa ni ya uhakika. Hewa safi kabisa.Mlalo Lushoto
Vizuri sana kama ni njema AnneYaani nilicheka Sana.
Ni njema Elly,
Vipi umeshampa Yesu maisha yako baada ya kupo a kwenye tukio zito la ajali?
Hivi kwa wastani kwenye huu una picha zako ngapi umepostiNamba zote za page kuna picha zangu.
Weka yako boss
I am your secret admirer [emoji4][emoji4]
Hahaha[emoji23]Kabla shetani hajaikalia cherehani[emoji23]View attachment 1985014