Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti 80,000 tu


Hapo parefu sana bro japo inaonekana iko poa mno. Nina ishu sana na huu usafiri wa majini lakini hii naweza kujikaza aisee hasa kama nikidunduliza mpaka kumudu hiyo 80K. Third class sh. ngapi?

Utafanikiwa tu mkuu, kikubwa ni nia.
Ratiba iko hivi.

Saa moja asubuhi
Saa sita na nusu
Saa kumi kamili

Kuna wakati abiria wakiwa wengi inaongezewa ya ziasa
Inaweza kuwa

Saa tano kamili
Saa nane kamili
Saa kumi na nusu.

Bei

Economy Class 25,000/-
Business Vlass 35,000/-
VIP 60,000/-
Royal Class 80,000/-

Binafsi napenda sana kukaa nje nipate upepo na kufurahia kutizama maji.
 
Asante sana kwa info. Zanzibar imo kwenye orodha yangu ya utalii wa ndani (japo sina uhakika kama ni nchi moja ama la!)
 


Yaani kutizama boti inavyokata maji ni raha mno
 
Haya ndio mambo
. Mimi nipo available muda wote wa Lunch kuanzia saa sita mchana hadi saa nane mchana.
On weekends nipo kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana
Sijui wewe mkuu wa PGO nakuonaga hadi Sunday unapiga mzigo.
Watu wenye ratiba zenu hamuwezi kutuelewa na PGO zetu. Mkiwa mnalalamika #bluemonday sie tumelala....mkiwa mnaringa na #tgΓ¬f mara #sundayfunday sie tunapiga mzigo πŸ₯΄πŸ₯΄

πŸ€—πŸ€—πŸ€—....ratiba ya weekend nishaidumbukiza kwenye calendar. Ni kiasi cha kuchagua weekend moja tu sasa πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…