Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Na wewe ukikosea mkeo akutandike kofi la wapi?Mara nyingi mwanaume kumpiga mkewe ni kutokana na mrundikano wa hasira. Yaani kamuonya Mara kadhaa lakini hakuna mabadiliko. Pili huwa ni Kofi moja la mbele au nyuma ya kiganja basi. Kama mwanamke atakaa kimya bila kutaka kujirudishia au makelele, basi mwanaume ataishia hapo.
So ukipigwa Kofi moja sema nisamehe mme wangu.
Ila nawe usiwe mbishi Sana, msikilize na mjibu kibusara, hatupendi kupigana basi tu inatokea.
Ila usisahau, kinachofanywa on bed sio favor.
That was cool. Looks like you had a dream of becoming a soldier since you were a kid.
self defense..Unafanyia nini hiyo?
Nilitaka kuomba hizo hela ila umenikata maini baada ya kuona vitu hatari.
Mwee Nguruka ndiyo niniWow
You were right, hadi tunafika Morogoro kupumzika usiku ule haikuwa imefika.
Hutaki zawadi ya Nguruka kutoka Morogoro?
Naanza kukuogopa sasa.Huwa mnafyatua wenzenu siku mkivurugwa.self defense..
We sema DSM imekunogea π , shida ya Mbeya hakuna viwanja vya burudani kama hapa DSM.πdsm maisha magumu sana,ila nina sababu zangu za kutorudi huko sasahivi.
π sipo hivyo, hata kama mwizi amekuja injuring him should be an action of last resort...Naanza kukuogopa sasa.Huwa mnafyatua wenzenu siku mkivurugwa.
Njoo unichangie mkuu ili baadaye tugawane.We sema DSM imekunogea π , shida ya Mbeya hakuna viwanja vya burudani kama hapa DSM.
Mbeya mzunguko wa hela mdogo Ila hakuna shida ya Chakula. Endelea kuzichanga uje unigawie π€
Wote tu huwa wanasema hivyo.π sipo hivyo, hata kama mwizi amekuja injuring him should be an action of last resort...
kama nani alisema hivyo?Wote tu huwa wanasema hivyo.
Samaki vilivyokaushwa kwa mafuta ya mawese na Chumvi. Ni watamu ukiwachoma na kula na UgaliπππMwee Nguruka ndiyo nini
Una biashara gani nije nikuungishe?Njoo unichangie mkuu ili baadaye tugawane.
Hakuna sehrmu naipenda kama Mbeya,na katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuishi DSM...ila nipo kwa muda tu
Wote wanaoenda kuchukua hizokama nani alisema hivyo?
Nauza maparachichiUna biashara gani nije nikuungishe?
Najua unayamiss mapalachichi yako tu π
Jioni nielekeze nije nikuungishe, Ila tafadhali yawe matamu kama ya Mbeya πNauza maparachichi
ni ya mbeyaJioni nielekeze nije nikuungishe, Ila tafadhali yawe matamu kama ya Mbeya π
Naomba nikuletee na zangu jirani πKUfua na kuchartView attachment 1978552
Zilete zote.Naomba nikuletee na zangu jirani [emoji85]