Selfika na JF: Snap it. Show it

Saiv sipati tabu nikimiss kufurahisha macho nakuchungulia pahala akuuuu karoho kanatulia

Hivi naimagine ningekuwa mwanaume ningekuwaje maana napenda kuangalia wanawake wazuri wazuri tu haipiti siku sijawatafuta huko duniani niwatizame basi nifurahi
Nataka kurusha yangu kapeace dakika 0 nafuta kabla shemeji yako hajatoka job Kuja kukagua kama nimetupia maana kashanipiga mkwara mbuzi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…