Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Asee nenepa vyote lakini siyo tumbo[emoji16],...kuna shoga angu yaani limemwagika kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Yaani likimwagika ni balaa,ata ukivaa hupendezi yaani[emoji16]Halafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika[emoji23][emoji23]
WowKabla sijawa na ndambi 🥴 sielewi hata nakitoaje 😣View attachment 1976773
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii ahadi niliitoa mimi kweli dota?
Yaani likimwagika ni balaa,ata ukivaa hupendezi yaani[emoji16]
Nina la kuvimba jamani nalitoaje? 🤣🤣🤣Halafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika[emoji23][emoji23]
Na wewe hapo bado nasubiria za kwako. Tangu mwaka 2011 nilivyoahidiwa hadi leo hola masikini ya Mungu daah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lina kunyima usingizi eeeh[emoji40],Nina la kuvimba jamani nalitoaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo maganda ya blue ni pipi?Afe kipa afe bekiView attachment 1976762
Hongera....rafiki yangu yaani[emoji23]halafu vile anapenda kuvaa magauni ya mpita mpira[emoji16]..nadhani umepata picha inakuwaje.Nimepambana kimebakia cha chini kidogo
Hakinisumbui
Nina la kuvimba jamani nalitoaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujaona chebe limestawii?Ila we mtoto una maneno jamani khaaa
🤣 noma Sana. Nitajitahidi.Achana na bia kabisa
Hongera....rafiki yangu yaani[emoji23]halafu vile anapenda kuvaa magauni ya mpita mpira[emoji16]..nadhani umepata picha inakuwaje.
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu bora la kuvimba utalitoa kuliko likimwagika[emoji23][emoji23]
Huyu tuendelee kumtazamia KristoNa wewe hapo bado nasubiria za kwako. Tangu mwaka 2011 nilivyoahidiwa hadi leo hola masikini ya Mungu daah.
Aah wapi 🤣🤣 halijawa shapeless sana. Ingawa lina gram kama 900 hivi 😆Lina kunyima usingizi eeeh[emoji40],