Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Oct 16, 2021 #111,981 Ww
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Oct 16, 2021 #111,982 Kabla sijawa na ndambi 🥴 sielewi hata nakitoaje 😣
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 16, 2021 #111,983 ERoni said: dota! Click to expand... Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee.
ERoni said: dota! Click to expand... Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Oct 16, 2021 #111,984 BUSH BIN LADEN said: Afe kipa afe bekiView attachment 1976762 Click to expand... Umejiandaa vyema kamanda ila hakikisha tu moyo wako una afya njema. Kama kuna katatizo hukajui usije ukashangaa watu wanaimba "parapanda italia parapanda...."
BUSH BIN LADEN said: Afe kipa afe bekiView attachment 1976762 Click to expand... Umejiandaa vyema kamanda ila hakikisha tu moyo wako una afya njema. Kama kuna katatizo hukajui usije ukashangaa watu wanaimba "parapanda italia parapanda...."
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 16, 2021 #111,985 Depal said: Chebe limekolea nazi Click to expand... Ila we mtoto una maneno jamani khaaa
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,594 Reaction score 119,715 Oct 16, 2021 #111,986 Depal said: Chebe limekolea nazi Click to expand... na limekolea nazi kweli kweli...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,594 Reaction score 119,715 Oct 16, 2021 #111,987 Karma said: Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. Click to expand... Hii ahadi niliitoa mimi kweli dota?
Karma said: Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. Click to expand... Hii ahadi niliitoa mimi kweli dota?
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,258 Oct 16, 2021 #111,988 Depal said: Kabla sijawa na ndambi sielewi hata nakitoaje View attachment 1976773 Click to expand... DD
Depal said: Kabla sijawa na ndambi sielewi hata nakitoaje View attachment 1976773 Click to expand... DD
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Oct 16, 2021 #111,989 Haikamiwi ile bob 😀 BUSH BIN LADEN said: Afe kipa afe bekiView attachment 1976762 Click to expand...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Oct 16, 2021 #111,990 mawardat said: DD Click to expand... Mwenzako sahivi tumbo limeshikana na kiuno 🤣🤣
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,258 Oct 16, 2021 #111,991 Depal said: Mwenzako sahivi tumbo limeshikana na kiuno Click to expand... Asee nenepa vyote lakini siyo tumbo,...kuna shoga angu yaani limemwagika kabisa
Depal said: Mwenzako sahivi tumbo limeshikana na kiuno Click to expand... Asee nenepa vyote lakini siyo tumbo,...kuna shoga angu yaani limemwagika kabisa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Oct 16, 2021 #111,992 Ahsante brod darling ERoni said: Ishakuwa tabu huku!!!View attachment 1976718 Click to expand...
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Oct 16, 2021 #111,993 Karma said: Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. Click to expand...
Karma said: Naomba nifanyie mpango basi hiyo picha ije pm ikiwa na uso uliokamilika. Tangu mwaka juzi niliahidiwa kutumiwa picha full ila hadi leo hola mwee. Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,594 Reaction score 119,715 Oct 16, 2021 #111,994 Heaven Sent said: Ahsante brod darling Click to expand... Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti??
Heaven Sent said: Ahsante brod darling Click to expand... Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti??
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Oct 16, 2021 #111,995
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Oct 16, 2021 #111,996 Kidogo twende kwenye 4-Dimension Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Oct 16, 2021 #111,997 Hahaha sina simu ya kupyatila; siku nikinunua nitapost picha za hadi nazaliwa ERoni said: Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti?? Click to expand...
Hahaha sina simu ya kupyatila; siku nikinunua nitapost picha za hadi nazaliwa ERoni said: Asante tena sis darling! Hivi siku ukituma ya kwako servers zitagoma kufanya kazi eti?? Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,594 Reaction score 119,715 Oct 16, 2021 #111,998 donlucchese said: Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806 Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app Click to expand... Aisee,! Kumbe watumiaji wa hii kitu wapo humu?
donlucchese said: Kidogo twende kwenye 4-DimensionView attachment 1976806 Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app Click to expand... Aisee,! Kumbe watumiaji wa hii kitu wapo humu?
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,985 Oct 16, 2021 #111,999 🍺🍸
Malchiah JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 1,952 Reaction score 20,674 Oct 16, 2021 #112,000 Jack Palladino said: View attachment 1976274 Click to expand... Chief kwema? Naomba soft copy ya hii if possible.
Jack Palladino said: View attachment 1976274 Click to expand... Chief kwema? Naomba soft copy ya hii if possible.