Sasa kama ulijua kwenye ujambazi kuna kutenguka viuno kwanini ulimpa uhuru wa kuchagua halafu uje umuadhibu kwa uchaguzi aliofanya! Hapa siyo suala la mtoto kumlaumu baba bali ni baba kumuadhibu mtoto kwa uhuru aliompa mwenyewe!Yaani mtoto achague ujambazi,atenguke kiuno kwa athari za ujambazi afu arudi kumlaumu baba badala ya kulaumu uchaguzi wake!
Inashangaza!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuwa lifurushi ndani ya huto tuviatu ππNatamani kukuona ukikaa humo unakuwaje
ABV ya 4.5% unakomfyuzi minyoo gani? Hayo si maji tu? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Ngoja niikofyuzi minyoo leo, ndio nalamba kwa mala ya kwanza.View attachment 1974606
Nilimwambia mapema kila njia atakayoichagua na madhara yake.Sasa kama ulijua kwenye ujambazi kuna kutenguka viuno kwanini ulimpa uhuru wa kuchagua halafu uje umuadhibu kwa uchaguzi aliofanya! Hapa siyo suala la mtoto kumlaumu baba bali ni baba kumuadhibu mtoto kwa uhuru aliompa mwenyewe!
Ukishasema wewe siyo dikteta na ukampa mtu uhuru wa kuchagua hiki au kile basi haupaswi kumuadhibu kwa uchaguzi atakaoufanya! Ukimuadhibu unarudi pale pale kwenye udikteta maana yake kumbe ulitaka achague hiki tu na siyo kile!
Hawa ndio makomandoo sasa wale wa taifa huwa wanafanya maigizo
πππππ
[emoji23][emoji23][emoji23] anagundua leo daah!Ma expert walisharuka nayo tangu inatua day one.
CC: Jack Palladino
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwako pia shem darling...Habari ya asubuhi humu ndani.hamjambo nyote?
BAsi ikawe Baraka kwenu na kila mmoja aguswe kwa namna ya pekee yake na Baba Yetu aliye sirini.[emoji122]
Hivi hampatagi ukilema kwa kuvaa hivi jiraniJamani ajitokeze mtu aninunulie hicho kiatu.nataka nivutike kwa juu kidogo
View attachment 1974572
βΊβΊβΊView attachment 1972988
Lizzy siku ya xmas, tunakata hio cake πππ
Then kati ya hizi cake hapa chini, nambie ipi umeipenda siku ya BD nikuletee...
1
View attachment 1972990
2
View attachment 1972991
3
View attachment 1972994
π
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Asante Shem darling ππNa kwako pia shem darling...