Selfika na JF: Snap it. Show it

Siyo kila sauti ya kuimba bwana

Nakumbuka sekondari kiongozi wa kwa ya alisimamisha mazoezi baada ya kugundua sauti mvurugano(ilikuwa yangu)

Niliachana na kuimba since then
Tatizo ulikata tamaa mapema sn..mbn gift ( gift money) anaimba?

Ukimwona enzi hizo pale keko na lisauti lake huwezi kuamini leo anaperform kwenye matamasha makubwa km fiesta na Wasafi fest
 
Tatizo ulikata tamaa mapema sn..mbn gift ( gift money) anaimba?

Ukimwona enzi hizo pale keko na lisauti lake huwezi kuamini leo anaperform kwenye matamasha makubwa km fiesta na Wasafi fest

Nilijumlisha na vile mama alikuwa ananiambia utotoni niache kelele na sauti langu kamachura

Nikakubaliana na hali.

Ila badae nimegundua sipendi kuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…