Selfika na JF: Snap it. Show it

✍🏾✍🏾View attachment 1972512
violence breeds violence,
i agree!!! πŸ‘
watoto wanaotoka kwenye zile familia ambapo kuna domestic violence, baba anampiga ngumi mama, watoto wanaona... watoto wanaweza pata mental illness, kuna uwezekano mkubwa na wao wakaja kurithi hizo tabia.. au ataanza kuwa mkorofi sana kwa watoto wenzie na kuwapiga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…