100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,188
- 36,395
sasa NDINDA kama mnataka vikwazo endeleeni kuuliza vibali, nipo nyuma ya watu wakubwa...😎😎😎...Tunaomba Aircraft registration license, Landing Fee Boss, Na Work permit ya Huyo Mkulungwa [emoji41][emoji1787].
Tisha sana BOSS😎, Ni Nomasasa NDINDA kama mnataka vikwazo endeleeni kuuliza vibali, nipo nyuma ya watu wakubwa...😎😎😎...
twitter JB amekiwasha huko, nimempigia simu...amekujibu na tweet... kama Lizzy amekutuma mwambie hachomoki..
View attachment 1971165
naomba unielekeze huyo fundi,,siku nikiokota hela naenda kushona gauni kama hilo[emoji4]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa NDINDA kama mnataka vikwazo endeleeni kuuliza vibali, nipo nyuma ya watu wakubwa...😎😎😎...
twitter JB amekiwasha huko, nimempigia simu...amekujibu na tweet... kama Lizzy amekutuma mwambie hachomoki..
View attachment 1971165
Muulize mtoto kama angependa kupokea zawadi ya maziwa ya Asas kutoka kwa Mjomba miye nimletee hapo Nyasa 😍[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 1971190
Kweli Dunia haiko fair, yaani jumla ya Pension niliyoipata kwa kufanya kazi miaka Kenda wewe ndiyo unaifanya pocket money ya mtoko mmoja 🙈🙆🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻
Kweli Dunia haiko fair, yaani jumla ya Pension niliyoipata kwa kufanya kazi miaka Kenda wewe ndiyo unaifanya pocket money ya mtoko mmoja [emoji85][emoji134][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Dah ndo naona ujumbe saiz nimeshinda kariakoo now nipo home adi kesho bibieNiambie uko wapi nije ichukua.
Nikukute umependeza hivyohivyo[emoji7],tupige na kaselfie.
Jamani[emoji2362]Dah ndo naona ujumbe saiz nimeshinda kariakoo now nipo home adi kesho bibie
Nitakulipa[emoji38][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41], Kesho naenda Kupiga tukio eneo ntakuonyesha mzigo [emoji1787]
Kesho hasubui nitakuchek basiJamani[emoji2362]
Ungenistua mchana,nimepita kariakoo,,ndio natoka huko sasahivi.Kesho hasubui nitakuchek basi
Hiyo club inanuka mikojo, ni yakiserengeti sana 😆