Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mwanao maneno mengi...kachezea kipigo[emoji28]Nimeumia sana mwanangu kupigwa nahilo jamaa lenye hips za kiunonii...
Acha nikanywe bia mbili tatu kujipozaaView attachment 1969882
Mwanao maneno mengi...kachezea kipigo[emoji28]Nimeumia sana mwanangu kupigwa nahilo jamaa lenye hips za kiunonii...
Acha nikanywe bia mbili tatu kujipozaaView attachment 1969882
We jamaa, upo mzee?
AminNatamani ikawe hivyo hivyo kwako na kuzidi zaidi ya kuzidi.
Nimepata kauzoefu kidogo kwenye ndoa, kwa kiasi fulani kuna changamoto zinazopita na kuja nyingine, tamanio langu wewe usikutane na hata moja pindi ukijaliwa, hata hivyo naomba kwa ajili yako.
Mimi ni wako peke yako babe[emoji8]Anne ana wivu mno na babe wake [emoji13][emoji13][emoji13]
Yaani macho yangu yote ndio yapo hapo jamani,msije niuwa kwa presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2362]
Yaani natumia kila mbinu .Kwa ulivotia huruma ngoja nikuachie mwaya
Wewe ni expert.Kichwa kigumu sana hiki[emoji28]
Wa kwangu pekeyangu babe wangu[emoji8][emoji8][emoji8]Mimi ni wako peke yako babe[emoji8]
Shkamoo mwalimu..Anne[emoji3590]
View attachment 1969973
MarahabaaaShkamoo mwalimu..
Nilitegemea nawe utajibu shikamoo maana ni maajabu mimi Kaka yako nikusalimie shikamoo 😀😀Marahabaaa
Hujambo???
Mkuu mimi ni dada yako, Tena mama yako mdogo kabisaNilitegemea nawe utajibu shikamoo maana ni maajabu mimi Kaka yako nikusalimie shikamoo [emoji3][emoji3]
Sasa huoni hata inanionyesha, 1925 enzi hizo zetu tuliteseka sana kuipatia nchi hii uhuru, wewe kipindi hicho ulikuwa wapiMkuu mimi ni dada yako, Tena mama yako mdogo kabisa
GOD is good all time, maombi yangu yamefanya kaziAjali ndogo Shule [emoji853]
Thankfully hakukuwa na serious damage....View attachment 1969854View attachment 1969855
Picha nzuri .I miss these glasses[emoji176][emoji176]View attachment 1969991View attachment 1969992View attachment 1969997View attachment 1970002
Usisahau mkate wa kushushua basi 😁😁🙈Hahahaha yes mamiiii.....natoa lokii tu ndio nianze kunywa sasa
Uko poa lakini?
Ukisuka una pendezaI miss these glasses[emoji176][emoji176]View attachment 1969991View attachment 1969992View attachment 1969997View attachment 1970002