Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeumia sana mwanangu kupigwa nahilo jamaa lenye hips za kiunonii...

Acha nikanywe bia mbili tatu kujipozaa
IMG-20211010-WA0001.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani usiniseme.

Sijaacha wala sijaongezeka sema pia sipungui maana nimekuwa mvivu sitembei...sifanyi mazoezi basi tabu tupu [emoji3061][emoji3061]
Umekuwa chibonge mno [emoji38]
 
Back
Top Bottom