Eti amepanda ngazi kaniacha chini,nashangaa zinavyotembea
Nikamwambia mimi sipandi,..
Akashuka kunichukua ili tupande wote..sasa hapo ndo alijikoroga
Ameweka mguu wakati mimi bado wakati tulikubaliana tunaweka kwa pamoja huku nimemshika mkono..
Nikamvuta
Yaani nilitaka umiza mtoto wa mtu
Mbeya hivyo vitu havipo jamani
Bado nipo mchumba.