Selfika na JF: Snap it. Show it


Baada ya kipindi kirefu kupita, hatimaye nimefumania mahali majani ya kunde. Walichonikosha ni mtindi kwa pembeniπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Huu mchanganyiko Una shauriwa sana kwa sisi Wazee πŸ˜›πŸ™ˆπŸ€ΈπŸ½πŸƒπŸ»
 
Suala la malezi kuhusu jambo hili halina uzito sana, ila sikatai malezi yasitolewe, but kupambana na hili suala linahitaji uwezo na mbinu yenye ushawishi kwa kuzuia,

Hili lipo ndani ya muhusika na linafanywa kwa siri sana,. Kikubwaa uhai tyuuh.
 
Huyu dada ana mtoto tayari??
Hongera kwake jamani
Hii kapo yao nzuri hadi raha jamani
.

Dogo uwe unanipa umbea wa huko mjini Instagram..mimi nipo nyuma mno.
Teeena mie na umbea dam dam, heri nikose kula ila sio bundle khaaaah.
Ntakuaa nakupa tena ule hot hot, nipo vizuri sekta ya udaku, ukuda, ufukunyuku, umbea, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…