Nimefurahi sana kuona watu wanafuatilia ushauri tunaotoa. Kula bata ndugu yangu. Kesho nitakuja Bagamoyo ila kwa trip ya familia na tutageuka sitakutafuta. PM kuhusu ulivyopaona hapo maeneo
haah
mtoto umekamilika kila idara, nasema we mtoto umeumbwa ukaumbika
najaribu kufuatilia kasoro sioni, mtoto una figure, mtoto una rangi, mtoto una dimpoz, mtoto una zigo
mtoto una kiuno,
Dunia ipo kasi sana, kuna kampuni huko Israel inaitwa Phinergy wametengeneza gari inatumia hewa na maji
ina maana wazungu wana agenda ya kuua kabisa soko la mafuta au ni kitu gani
kuna documentary netflix naangalia world in 2050, wana agenda kubwa sana kuanza kutumia nishati mbadala ya mafuta
Juzi kati hapa kuna gari nyumbani imepaki, tulitaka tuifungie mfumo wa umeme, niliulizia huo mfumo kwa chinese, wanao
niliongea na hio kampuni wakanitaarifu bei na kila kitu
ilikuwa ni kuagiza tu na kufunga na walinipatia taratibu zote nikawatumia na picha ya gari, wanakupatia na solar inakaa juu ya roof
kwa sasa gari unaibadili chapu kuwa mfumo wa umeme
dunia ipo kasi sana asee