Mie sijambo sana mommah
, nlitoka nduki nlikua buzzy kdg nje ya JF, sasa nlivokuja kuwa sawa, nijoin huku nakuta nmepigwa kufuli
, af sijajua had now kosa langu lipi.
Kna kipindi nimepitaa hapa karibun nje ya JF, nlimic uwepo wako, hakika wee n bora San kwangu.