mawardat ni mpole ni mrembo ana figure amazing, kwenye mapishi utamkuta anakula ugali mkubwa na dagaa wakavu pembeni wa mchuzi(hajui kupangilia mlo), mawardat hata ule ugali mwekundu anapiga vizuri
Lizzy huyu dada ni mrembo mchapa kazi, kwenye jiko hana mpinzani humu jf, lakini hamfikii manzi yangu kama anabisha niweke mpambano wa kukaangiza hapa,
Depal ni mrembo halafu ukimzingua anakukata kofi, anakata makofi kama nyani,ana figure amazing, kupika ni 0
Priscallia ni mrembo halafu ni mpole ana figure amazing ,sema ni slay qeen hawezi zile kazi za ki wife material ikiwemo kupika ugali, anapenda outing na kupika hawezi kama mie muongo ani prove wrong
Saint Anne ni mrembo yeye ni mtakatifu, inaonekana ni mtu wa church sana anajitahidi kupika ila hamfikii manzi yangu
manzi yangu ni mrembo, anajua kupangilia misosi mezani, anajua kupika, ana figure amazing, anaponimalizaga kabisa akipikaga lile biriani na zile nyama za kusaga wallah huyu mtoto balaa.
Kama hivi eeh ukienda ugenini utakataa kula,hile miugali nilenda zangu kutalii huko[emoji23]mawardat ni mpole ni mrembo ana figure amazing, kwenye mapishi utamkuta anakula ugali mkubwa na dagaa wakavu pembeni wa mchuzi(hajui kupangilia mlo), mawardat hata ule ugali mwekundu anapiga vizuri
Lizzy huyu dada ni mrembo mchapa kazi, kwenye jiko hana mpinzani humu jf, lakini hamfikii manzi yangu kama anabisha niweke mpambano wa kukaangiza hapa,
Depal ni mrembo halafu ukimzingua anakukata kofi, anakata makofi kama nyani,ana figure amazing, kupika ni 0
Priscallia ni mrembo halafu ni mpole ana figure amazing ,sema ni slay qeen hawezi zile kazi za ki wife material ikiwemo kupika ugali, anapenda outing na kupika hawezi kama mie muongo ani prove wrong
Saint Anne ni mrembo yeye ni mtakatifu, inaonekana ni mtu wa church sana anajitahidi kupika ila hamfikii manzi yangu
manzi yangu ni mrembo, anajua kupangilia misosi mezani, anajua kupika, ana figure amazing, anaponimalizaga kabisa akipikaga lile biriani na zile nyama za kusaga wallah huyu mtoto balaa.
Naomba nyekundu mbili 🙂Leo ni chocolate tu No alcohol Saint Anne View attachment 1949552
Kumbe huna gharama eeh..mbili tu?[emoji38]Naomba nyekundu mbili [emoji846]
🤣🤣🤣🤣 ndiyo JPKumbe huna gharama eeh..mbili tu?[emoji38]
Me napika bana. Sio zero kabisa aisee, sema tabia ya kupika nianze Ku take selfie badala ya kula ndio siiwezi.@Depal ni mrembo halafu ukimzingua anakukata kofi, anakata makofi kama nyani,ana figure amazing, kupika ni 0
Black beauty 🥰Shemeji [emoji3061]View attachment 1949588
Chapter one ukiimaliza naomba summary.
Shemeji [emoji3061]View attachment 1949588
Amekuwa cheusi dawa kama mimi?Shemeji [emoji3061]View attachment 1949588
[emoji7][emoji7][emoji120]Black beauty [emoji3059]
That waist weeee [emoji91][emoji91]
Nails [emoji91][emoji91]
You're gorgeous...
Leo hivi.... Na vijiti vyetu miguuni..
View attachment 1949407
Simba anazaa... Nje mvua na jua..
View attachment 1949408
Mchumba punguza uchoyo..tugawane[emoji39][emoji39][emoji39]Leo ni chocolate tu No alcohol Saint Anne View attachment 1949552
HahahaaaaHalafu Depal, bwana weeh sijui nani anamfundisha maneno ya kitaa
utamsikia
anakuita "msela", 'unayumba mwana'
juzi hapa ananiambia eti "unamwagia wazungu sehemu safii"
huyu mtoto sijui nani anamfundisha lugha zetu hizo
anajua mpaka vumbi la ''Democratic Republic...''
mhhhhhhh!!!
[emoji23]sio banaAmekuwa cheusi dawa kama mimi?
Safi sana.
Utapata w.end au imeanza tayari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo JP
Hivi urembo ni nini?mawardat ni mpole ni mrembo ana figure amazing, kwenye mapishi utamkuta anakula ugali mkubwa na dagaa wakavu pembeni wa mchuzi(hajui kupangilia mlo), mawardat hata ule ugali mwekundu anapiga vizuri