Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama nilivyokufumba mchana sio?

Tulia, pisi yako ya kawaida mno bana. Haitufikiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uki'Ligi ligika mwenyewe.

G9t.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti"haitufikii[emoji23]
 
Nina ugonjwa wa kudondosha simu, hao Samsung watanikimbiza.
Hahaaa sasa hapo kwenye kudondosha simu hapo ndipo shida ilipo. Ila ungekuwa mtunzaji mzuri kama mimi ungefaidi sana hii brand.

Uzuri samsung zipo hadi za laki mbili siyo lazima ununue zile ambazo bei yake ni ugonjwa wa moyo. Kwahiyo hizo hata ukidondosha unaipaki tu kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…