Welcome backNipo rafiki ni majukumu yalinificha tu
Hebu fanya kunitoa ushamba
Ndio Raha ya jf ndugu ,hahahaaaaa.Mkuu nimecheka mno, sawa best
Chap kwa harakaHapana neno unaweza itumia tu
ningekuwa raisi we ungekuwa mshauri wangu, sio kwa hizo technic 🙂
Ile asali ya nyuki wadogo inaitwa UPULA.Hebu fanya kunitoa ushamba
We ulitaka mtengua nyonga mwenzioIle asali ya nyuki wadogo inaitwa UPULA.
Siku nimetoka zangu Dar nikaenda Tabora mashambani hukooooo, kufika nikawa nafakamia UPULA kila siku nakunywa , nilikaa kama majuma mawili hivi kule shamba, lahaulaaaaaa siku nimetoka kule kuja kukutana na bibi yako.... Weeeeeeeeeee, alitoka na Dera lake mkononi, nikawa najiuliza nini kimetokea ? Kuja kufuatilia kumbe ni UPULA
Mnara unakaa hewani kiasi kwamba usipokaa kwa umakini unaweza ukajikuta boxer na jeans zilishatatuka kitaaambo huna habari
Hayo ndo mambo Sasa, haya leta darsa wengine tukafanyiwe praktiko
Enheeeeeeeh! Vuta picha ile siku ambayo bebe wako Lee mligaragazana hadi ukatoka na kufuli mkononi halafu ikawa kila ukikaa ukikumbuka ile mikito unajikuta tu unacheeeka unafurahi.We ulitaka mtengua nyonga mwenzio
Yani kama napata picha hivi
Hayo ndo mambo Sasa, haya leta darsa wengine tukafanyiwe praktiko
Ndio Raha ya jf ndugu ,hahahaaaaa.
Pale Arusha nilitumia moja ya mbinu zako nikaifanyia maboresho kidogo tu, nikafanikiwa
Mkuu samahani...Ile asali ya nyuki wadogo inaitwa UPULA.
Siku nimetoka zangu Dar nikaenda Tabora mashambani hukooooo, kufika nikawa nafakamia UPULA kila siku nakunywa , nilikaa kama majuma mawili hivi kule shamba, lahaulaaaaaa siku nimetoka kule kuja kukutana na bibi yako.... Weeeeeeeeeee, alitoka na Dera lake mkononi, nikawa najiuliza nini kimetokea ? Kuja kufuatilia kumbe ni UPULA
Mnara unakaa hewani kiasi kwamba usipokaa kwa umakini unaweza ukajikuta boxer na jeans zilishatatuka kitaaambo huna habari
Nigawie mguu kidogo