Nlienda nazo nikarudi nazo bei hazishikiki kioo cha s5 lisimu la zamani unaambi 150k au 100 cha kichina hakina hata ung'aavu kama kina ukungu nikarudi zangu

Saivi nafikiria kuhamia kwenye OPPO nione maana hapa nshakaa sana saivi nina note 8 ishaweke crakes vimistari viwili hata sijaiangusha.sijui ilijibana na funguo mfukoni au coins