Oohh kumbe yeye ndiyo ataanza kuni attack?? Basi haina shida mie nitamaliza yeye akimwaga ugali mimi namwaga mboga na maji ya kunawa kabisa!!
Bahati nzuri vile vidole vya demu wake hata mimi nilivisave kwa ajili ya matumizi ya baadaye, halafu tukishamaliza kuchambana naye tumkaribishe chamani shosti wetu.
Uzuri ni kuwa ukileta ubondia wa mdomo basi ndio utakutana na ubondia wa makonzi, ila ukiwa mpole na mwenye hofu ya kufanya makosa basi utakuwa katika mikono salama mno.