Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh kumbe yeye ndiyo ataanza kuni attack?? Basi haina shida mie nitamaliza yeye akimwaga ugali mimi namwaga mboga na maji ya kunawa kabisa!!

Bahati nzuri vile vidole vya demu wake hata mimi nilivisave kwa ajili ya matumizi ya baadaye, halafu tukishamaliza kuchambana naye tumkaribishe chamani shosti wetu.
Kuna tetesi za chini ya kapeti jamaa ataanza nawe kuchomoa betri so jiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…