Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaniharibia unclee wangu unataka awe mlaini kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23], ngoja aanze ratiba za kupiga soccer [emoji460].. Kuoa ataoa tu sababu ni nyingi tu za kuoa na haziishi
Hawezi kuwa mlaini....so far yuko vizuri hataa bullies hawamsogelei. Fanya hivyo uncle, atafurahi sana 🤗🤗🤗

😁😁😁 yeahh....ila sio kwa kutafuta maid/mpishi wa bure.
 
Hawezi kuwa mlaini....so far yuko vizuri hataa bullies hawamsogelei. Fanya hivyo uncle, atafurahi sana [emoji847][emoji847][emoji847]

[emoji16][emoji16][emoji16] yeahh....ila sio kwa kutafuta maid/mpishi wa bure.
That is very good

Binafsi naona haipendezi mtoto wa kiume kuwa mlaini mtoto wa kiume lazima awe mbabe kiaina no matter what
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…