Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani best wewe haupo kwenye list yake usisahau ulitoa tusi jamaa akapaniki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani akaja juu kama moto wa kifuu, mimi ngoja niandae kwanza popcorn halafu nitasikilizia upepo unavyoenda nijue kama naweza kuingia au niwe mpenzi msomaji tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani akaja juu kama moto wa kifuu, mimi ngoja niandae kwanza popcorn halafu nitasikilizia upepo unavyoenda nijue kama naweza kuingia au niwe mpenzi msomaji tu.
Kuna tetesi za chini ya kapeti jamaa ataanza nawe kuchomoa betri so jiandaeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…