Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kule kwenye jukwaa la siasa.Nilitumia haki yangu ya kutoa maoni nikasema kuwa kuna kiongozi fulani wa nchi hakuna cha maana anachofanya,yuko tu busy kuzurura hovyo kama yale Mapaka yasiyofugwa.Nikaishia kuzibwa mdomo kwa siku saba!
Ulishasema humtambui Rais,ukasema nchi haina Rais,,sasa unatuchanganya

Utalambwa ban hadi akili ikikae sawa
 
Sijaanza mimi kuelezea siasa. Chanzo cha yote haya ni Valentina aliniuliza sababu ya mimi kupigwa ban ni ipi.Sasa ningekaa kimya bila kumjibu?Ustaarabu ilikuwa ni kutokuendeleza discussion hiyo kwenye huu uzi baada ya Valentina kupewa jibu lakini kwa bahati mbaya watu hawakufanya hivyo.
Hakuna alipoendeleza mtu
Labda kama unataka uendelee.

Ungemjibu pasi na kuingiza siasa.
 
ila zile ID zangu nyingine kama vile ID ya Chura zilikuwa hewani!
Eeh
Screenshot_20210914-143618.jpg
 
Hakuna alipoendeleza mtu
Labda kama unataka uendelee.
Wewe Saint Anne uliendeleza kwa kuandika yafuatayo,rejea quote yako hapo juu:

"Ulishasema humtambui Rais,ukasema nchi haina Rais,,sasa unatuchanganya
emoji16.png

Utalambwa ban hadi akili ikikae sawa"
Ungemjibu pasi na kuingiza siasa.
Sasa kumjibu nilichoandika kikanipa ban ni kuingiza siasa?
 
Wewe Saint Anne uliendeleza kwa kuandika yafuatayo,rejea quote yako hapo juu:

"Ulishasema humtambui Rais,ukasema nchi haina Rais,,sasa unatuchanganya
emoji16.png

Utalambwa ban hadi akili ikikae sawa"

Sasa kumjibu nilichoandika kikanipa ban ni kuingiza siasa?
Kwa sababu kinahusu siasa..na mm nililuquote kile ulichoandika.

Kama ni kuingiza siasa basi wote tumeingiza siasa,maana umeandika siasa nikachangia comment hiyohiyo yenye content ya siasa.
 
Narudia tena kwa kusema kuwa Valentina alikuwa na haki ya kujibiwa swali alilouliza lakini watu wote ambao walikuwa wanataka mjadala ule uendelezwe kwenye uzi huu ambao hauhusiki hawakuwa ni watu ambao ni werevu ikiwa ni pamoja na wewe.

Unafikiri kuwa Valentina hakupaswa kujibiwa swali alilouliza?

Valentina alipaswa kujibiwa swali alilouliza kwa sababu mimi ndiye niliripoti hapa kuwa ban yangu imeisha na akataka kujua sababu ya ban kisha nikampa ile sababu.

Wewe Saint Anne ungekuwa mwerevu baada ya kuona kuwa ile sababu ilikuwa ni ya kisiasa ulipaswa uombe tuhamie kwenye jukwaa la siasa kuendeleza hoja ile na siyo kuiendelezea hapa,lakini hukufanya hivyo.
 
Hata hivyo siyo lazima kuuendeleza.
Hata wewe ungeweza kuukata tu bila kuuendeleza.

Hakuna sehemu nimesema hana haki ya kujibiwa,amejibiwa kwa sababu alikuuliza na mimi nimechangia comment uliyomjibu ukanishangaa mm kuleta siasa wakati comment yako licha ya kwamba ni jibu la Valentina lakini bado ina siasa ndani yake.
 
Halafu unachofanya ni kuleta fujo kwa sababu uliwahi kuleta hoja hii kwenye majukwaa husika tarehe 06/09/2021 nikakujibu ukashindwa kujenga hoja na ukaingia mitini bila ya kujibu chochote halafu leo unaleta hoja hiyohiyo kwenye jukwaa ambalo halihusiki!Hizi ni fujo.
20210914_162703_temp.jpg
 
Back
Top Bottom