Mara mia upate stress ukiwa kazini kuliko kupata stress ukiwa nyumbani unasugua bench..
Unakuta hata mia tano ya vocha ngumu kupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza, hapo unakuwa ni wa next level...Kali sana...
Ukitupia na hlo dundo tayaaaaaaari.
Umemaliza, hapo unakuwa ni wa next level...
Ukivaa hivyo usinywe zile bia chupa zinarudishwa kiwandani, hapo ni kutembea na mdhamini wa UEFA n.k pombe flan next level...
mambo ya w'end.
Hii ni brand kubwa sana na ipo kitambo ni brand ya USA , wana vitu flani next level sana, hapo mchina huwa hagusi...Dundo flan iv maqin sana
Niiiiiice!!!! Dressing gani umeweka??
Team nikon
Umeona eeeh![emoji28][emoji28]. Ukiwa bench hata mwanaume wa kukupa salamu haupati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nilikuwa napiga addition hata mara 2.Hapana ni mapenzi ya mlo upi mtu anapendelea, addition ya maharagwe na ugali wa boarding school i swear huwezi addition, nilikua nakula lakini sio level ya addition aisee...
mimi ubwabwa napiga sahani tatu, ukiniwekea na zile njegere za nazi naweza piga sahani nne kabla sijamalizia na juice lita 1, sasa unaanzaje kuniita wakishua, we unaweza hio...
Umeona mkeka ulivyotulia??Nikipata time nitaenda tena... ii picha ilikuwa mwezi wa tatu View attachment 1932108
Kumbe nipo next level eeh!Mi sio wa kishua lakini, ugali maharagwe na unapiga addition hio ni next level...[emoji23]
Apo inakuwa unyama sana [emoji106]Ukamatie na hii smart watch, unaua mtaaView attachment 1932341
Dundo flan iv next level[emoji3]Kwahiyo key word ya chatting imekuwa NEXT LEVEL [emoji23]?
Mtupie basi na vipicha flani hivi' vya kimafia flani , kishkaji sana, medium next level.
Currently location, The Next Level.. Njiro... Hornet nimetoka bana [emoji1635][emoji12]
Sana afu akuna magari mengi ni kukanyaga wese mwanzo mwisho
Kijijini huko magari mengi yanatokea wapi[emoji4]Sana afu akuna magari mengi ni kukanyaga wese mwanzo mwisho
π π π π πKwahiyo key word ya chatting imekuwa NEXT LEVEL π?
Mtupie basi na vipicha flani hivi' vya kimafia flani , kishkaji sana, medium next level.
Currently location, The Next Level.. Njiro... Hornet nimetoka bana π₯π