Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
Watoto wa kishua nyie.heheheehh!!!
asee kuna njemba zinakula, nlisoma na njemba zina piga addition ya ugali maharagwe, mimi wakati huo natorokea mjini kati at least nile ubwabwa samaki....
January niliipita lakini sikufika adi ileje ila njia yenyewe sanaKutoka hapo hadi makao makuu ya Ileje ni dk 30 tu!
Ile lami mtambo sana [emoji119],imetandikwa ikatandikika,nzuri balaa unadhani ulaya huko[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pita mkuu,utaenjoyJanuary niliipita lakini sikufika adi ileje ila njia yenyewe sana
Hapana ni mapenzi ya mlo upi mtu anapendelea, addition ya maharagwe na ugali wa boarding school i swear huwezi addition, nilikua nakula lakini sio level ya addition aisee...Watoto wa kishua nyie.
Sisi wa madongo kuinama tumepiga sana addition za ugali maharage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasave za nini sasa? 🤣haniwezi mimi kwa kusave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nikipata time nitaenda tena... ii picha ilikuwa mwezi wa tatu
Sketi ndefu ipi?[emoji38]
Nilitaka nimalizie na ile ya sketi ndefu halafu ndio nianze kufuta
Sent using Jamii Forums mobile app
😜😜 Hiii bhangosha...Depal wewe ni kisu
Mna mambo.heheheehh!!!
asee kuna njemba zinakula, nlisoma na njemba zina piga addition ya ugali maharagwe, mimi wakati huo natorokea mjini kati at least nile ubwabwa samaki....
Mi sio wa kishua lakini, ugali maharagwe na unapiga addition hio ni next level...😂Wakishua 😂
Mna mambo.
Futa picha zangu dogo 😂 au unataka likukute jambo?
Njoo uone yangu. Nawawakilisha... Here we go without crop/ emoji 😏😏[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Mshana Jr usidanganyike na mishepu, umeziona sura?
Sawa nasubir niioneNjoo uone yangu. Nawawakilisha... Here we go without crop/ emoji [emoji57][emoji57]
Tumuone mpishi kwanzaKatianeni hapo View attachment 1932145
Hata aibu huoni? 😂Sawa nasubir niione
Am sure, hiy sio pic yak hiyoAnafanana na alichopika? [emoji23] View attachment 1932147
Chukua moja tukatiane Depal [emoji3][emoji1550]Katianeni hapo View attachment 1932145