NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,744
- 49,623
Tisha sana Boss, wakati huo nilikua sijui darasa la ngapi 😀 . Mi nilianza mwaka 2005-2014, na sasa napiga tena niwe mdudu kabisa 😀Mimi nilisoma wayback 1996
Tisha sana Boss, wakati huo nilikua sijui darasa la ngapi 😀 . Mi nilianza mwaka 2005-2014, na sasa napiga tena niwe mdudu kabisa 😀Mimi nilisoma wayback 1996
Hakika hapo ni kupata connection.Kuna haja ya kupenya watujue asee
Acha masikhara,we ni wa dar?(natania)Yeah!! Mtoto mimi hapa [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji16]safi sana kaza buti..NAKUOMBEA ufike mbali. Ukimaliza ukiweza soma na sheria your future is greenTisha sana Boss, wakati huo nilikua sijui darasa la ngapi 😀 . Mi nilianza mwaka 2005-2014, na sasa napiga tena niwe mdudu kabisa 😀
[emoji23]wengine ndo tulikuwa tunazaliwa..Mimi nilisoma wayback 1996
Duh[emoji16][emoji23]wengine ndo tulikuwa tunazaliwa..
Ila Kuna Anko zetu humu Jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kijana mtafutaji hizi ndo dealHakika hapo ni kupata connection.
Huo mwaka Niko sec .Mimi nilisoma wayback 1996
OK ndo sec hy ..Duh mimi form four ni 1991
Japo haionekani vizuri, picha ya 96 na bibi yangu R I P[emoji24]Leo #tbt hebu tupieni pic zenu za zamani basi
Pole Sana mkuu.Japo haionekani vizuri, picha ya 96 na bibi yangu R I P[emoji24]View attachment 1930005
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]safi sana kaza buti..NAKUOMBEA ufike mbali. Ukimaliza ukiweza soma na sheria your future is green
Mimi sio m-DarSlum 😁😁Acha masikhara,we ni wa dar?(natania)
Amina, na asante.Pole Sana mkuu.
Nakumbuka uliwahi andika stori humu kuhusu bibi yako.
Mungu ampumzishe pema Amin.
Sent using Jamii Forums mobile app