Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,552
- 235,328
Lakini unguja kaskazini,sijui mjini magharibi na blah blah nyingjne zote zipo ndani ya kisiwa Cha Unguja..si Ndiyo?Kijiografia ni kisiwa kimoja ila kiutawala ni mikoa mitatu tofauti kuna Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini na Unguja Kusini ndani ya kisiwa kimoja
Visiwa vya Zanzibar vinajumuisha mikoa mitano ambayo ni Mjini Magharibi, Unguja Kaskazini, Unguja Kusini, Pemba Kaskazini na Pemba Kusini
Sasa Mjini Magharibi na Unguja Kaskazini na Kusini kijiografia ni mikoa iliyoungana kwenye kisiwa kimoja wakati Pemba Kaskazini na Kusini ni kisiwa kilichojitenga peke yake lakini hivyo visiwa vyote kwa pamoja vinaitwa visiwa vya Zanzibar
nitaipost mida ya popoz...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ipi hiyo?
Mwee basi tusemage tu hivyo hivyo mamaLakini unguja kaskazini,sijui mjini magharibi na blah blah nyingjne zote zipo ndani ya kisiwa Cha Unguja..si Ndiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakini hiyo mjini magharibi si ipo unguja.
Na unguja na Pemba Ndiyo kwa pamoja inaitwa Zanzibar.
Yaani nia yangu ilikuwa tu kujua km anaishi unguja au Pemba.
Asante[emoji120]
Kuwa mwanafunzi ni wito zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kunionyesha mfano basi 😉Duh, kweli tumepishana, Ili kutatua hili tatizo , tuma ile ya uhakika, sio zile tarakimu tatu za wakulungwa.
Ujue yuko tumboni...Ukiona manyoya?
Hata kama ni kuchukia shule hii ya kwako ni too much!!!
Kusoma kipaji mkuuHata kama ni kuchukia shule hii ya kwako ni too much!!!
[emoji176]View attachment 1928625
[emoji871][emoji871]
Dear Sunny,
Thank you for giving me Sunrise, Sunset & Sunkisses....
You and I got a special kinda relationship.
Your kisses are warm & fuzzy...
You are radiant...contagious even..
Your light is never dull....
....nothing can dim it.
Will I ever be like you???
Have I ever brighten someone's day the way you light up mine?
All I know for sure is...
I love you when you rise...and I love you when you set!
I know......I'm the worst!
Wanting you close but still keeping my distance when you come on a little too strong....
Luckily, you know my love for you will always be there...
So you walk away around dusk and let me reflect on the day before....
If Im brave enough....prepare to face the day to come..
Knowing that you'll show up early in the morning....
Before disappearing again...
...just in time for me to catch one last glance of your beautiful golden light as you set.
I love you!
#latenightnonsense
Yaani mwanafunzi inabidi nikuelewe vyote ulivyosema, magharibi, sijui kusini ah[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaa wanasemaga usipoelewa leo basi utaelewa mwakaniYaani mwanafunzi inabidi nikuelewe vyote ulivyosema, magharibi, sijui kusini ah[emoji23][emoji23]
Ila nishaelewa kuwa Mwinyi anaishi kisiwa Cha Unguja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo low season send a place for one please