Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
Figa nzuri ya wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana una figure nzuri
Kidogo lakini chenye afya
Hivi English figa ni nzuri eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Figa nzuri ya wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana una figure nzuri
Kidogo lakini chenye afya
[emoji38]Mhhh, Mimi hapa hiyo portion nyeupe iwe at least 10 times. Hiyo uliyopakua ni tonge moja kwangu, na mboga naona haitoshi hapo.
Yaani hili jina uliloweka Sasa na avatar[emoji1751][emoji19]Nikipita huku weekend lazima nisafishe macho!!
Sindo tunavyolazimishwa na sirikali...😁😁Taleban?😁😁😁
Aisee uko na ushawishi wa hali ya juu,
😊😊Lizzy mzuri halafu anavyozidi onyesha maeneo
Muhimu anatengeneza curiosity moja matata sana sema watu tukitaka kua karibu yake tunapewa namba ya polisi [emoji1787]
Mwenyewe nilikuwa sijaenda muda mrefu sana.😌😌nimeikumbuka Kigambon jamani
Kwa Danny paleee😁😁
Shozniga yupi tena!Yaani hili jina uliloweka Sasa na avatar[emoji1751][emoji19]
Hebu mrudishe shwazniger wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
📌📌📌📌📌📌📌Yaani hili jina uliloweka Sasa na avatar[emoji1751][emoji19]
Hebu mrudishe shwazniger wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sasa umewahi kuondoka lizzy..Mwenyewe nilikuwa sijaenda muda mrefu sana.
Pame-CHANGE!!!! Na ni kama vile watu wameongezeka hivi maana kila upande busy busy 🙃
Umeona eeh!Aisee uko na ushawishi wa hali ya juu,
Afu jamaaa anakaza kinyama
the old chillita new depalSunday [emoji2112]View attachment 1925079
Ni huyo huyo, hana u'old wala u'new 😎
Tupia picha ya sahani..