Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nimemiss kukuona mkuuNah I'm just at home ,don't really go out on weekends .. I live a pretty solitary life 😕
Nimemiss kukuona mkuuNah I'm just at home ,don't really go out on weekends .. I live a pretty solitary life 😕
Hujawai niangusha siku nije nikukose nakuwa kama sijaja vile... maana ile umeadimika kama naikumbuka vile
Mkuu mimi mwenyewe hapa natumia Google Translator 😀😀Dah kwann sikusoma mie
Asee si mchezoNimemiss kukuona mkuu
HahahaAsee si mchezo
Asee si mchezo
tafuta sumaku mkuu😀😀Asee si mchezo
vipi Mzima lakin wewe📌
Haya mkuu .Mkuu mimi mwenyewe hapa natumia Google Translator 😀😀
Umeona eehtafuta sumaku mkuu😀😀
Hivi ni dareda au ni ndareda?Dar mtu natokea zangu igurusi huko ndani ndani.. sehemu inaitwa Dareda![]()
Hivi we Mgiriki Jr VI ushawahi kusikia wali na maharage ya mama ntilie yanavyonukia au u??? Ugali wenyewe ukisikia njaa inakuja ghafla.kwa jinsi unavyokaangizaga.. mapishi yako lazima ushindwe tuu kula road
Ushamuona lknHahaha
Dareda bana...Hivi ni dareda au ni ndareda?
Ila majina ya kule sijui yanatafsirikaje
Daaah ilikua mitaa yetu zamani kidogo
Dah.. nikajua Shida hiyo kumbe kampani tuu imeisha hiyo..Hivi we Mgiriki Jr VI ushawahi kusikia wali na maharage ya mama ntilie yanavyonukia au u??? Ugali wenyewe ukisikia njaa inakuja ghafla.
Shida company...unakula hata mtu wa kuongea nae huna unaangalia sahani tu jamani 😀🥴🥴
Usipende kula wakati unaongea na usipende kuongea wakati unakula ni mwikoHivi we Mgiriki Jr VI ushawahi kusikia wali na maharage ya mama ntilie yanavyonukia au u??? Ugali wenyewe ukisikia njaa inakuja ghafla.
Shida company...unakula hata mtu wa kuongea nae huna unaangalia sahani tu jamani![]()

Dareda MkuuHivi ni dareda au ni ndareda?
Ila majina ya kule sijui yanatafsirikaje