Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
Leo Nikiwa kwenye gari asbh nimesikiliza ripoti ya polisi kuhusu Hamza.[emoji23][emoji23][emoji23]
Navuta picha,na assume siku pombe zinaacha kutengenezwa ghafla.
Walevi/wanywaji[emoji23]Ya bahati mbaya [emoji23]View attachment 1922772
Ni makavu....Hayo yanavutia
Ni mahindi mabichi hayo?
Wewe ni mvivu wa kula eh?
Wewe ni mvivu wa kula eh?
Naona misosi yako unapakua kiduchu
Niko hapa...View attachment 1922803
Kama kuna mchungaji namuomba inbox
Mvivu huyu[emoji28]Wakati hichi mi Ndo naonja jikoni
Food monger utawajua tu πWewe ni mvivu wa kula eh?
Naona misosi yako unapakua kiduchu
Mnataka mwenzenu aote kitambi cha kufunika hadi naniliiii??Wewe ni mvivu wa kula eh?
Naona misosi yako unapakua kiduchu
Naonja π
[emoji28]ya nini kujibana sasa jiraniFood monger utawajua tu [emoji23]
[emoji28]afanye kuongeza kipimo kidogo banaMnataka mwenzenu aote kitambi cha kufunika hadi naniliiii??
Na mimi nashauri hivyo..yaani ao ngeze kidogo tu..[emoji28]afanye kuongeza kipimo kidogo bana