Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi nawashangaa mnatafuta waume kanisani. Husband material utampata bar au grocery
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walevi mna umoja sana halafu mna care,,,imagine nafunguliwa hadi kinywaji,,nabebembelezwa kunywa[emoji23]
Nabembelezwa kula nyama[emoji23]
Na bado nikashindwa kunywa[emoji1751],na tamaa hujakata[emoji38]

That kafeeling[emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo sijalewa. Nikilewa ndo unabembelezwa mpaka unacheka
 
Pale ushakuwa maarufu bila shaka. Inabidi tuamshe popo [emoji23]
Kudakwa dk sifuri tu[emoji38]
Maana Kuna mtu huwa kila siku anaenda tuchukulia pale chakula[emoji1787]..mara nakutana Naye[emoji38]haki ya nani Mimi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na alivyo mbea [emoji2960]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudakwa dk sifuri tu[emoji38]
Maana Kuna mtu huwa kila siku anaenda tuchukulia pale chakula[emoji1787]..mara nakutana Naye[emoji38]haki ya nani Mimi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na alivyo mbea [emoji2960]


Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ndo ushakuwa blacklisted

Now umeelewa kwanini hatunywagi viwanja vya nyumbani tunaenda kunywea mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…