Sio hiki changu ujue. Sasa hivi nazikata tu nakuzitia marangi maana nishajikubali kusuka sio mambo yangu.[emoji38]
Nywele za kipilipili zikishakuwa ndefu zinakuwa nzuri tu.
Ila kichwa kuuma hilo ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Sio hiki changu ujue. Sasa hivi nazikata tu nakuzitia marangi maana nishajikubali kusuka sio mambo yangu.
Mtanicheka ni aibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio hiki changu ujue. Sasa hivi nazikata tu nakuzitia marangi maana nishajikubali kusuka sio mambo yangu.
Tubadilishane 🤪
Ni heri kipilipili kuliko nywele ambayo haieleweki nyepesi si nyepesi, ngumu si ngumu. 'Yangu hiyo sasa, inakera ukilalia uchogo inakatika hatari.
[emoji38][emoji38]Mtanicheka ni aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Njoo nikupe tu. Zangu hazikatiki ila hazikui halafu sio nyeusi. Siku hizi kidogo zimekua nzuri ila ndo nazificha kwenye mawig
Hizi nzuri sana.View attachment 1912073
Nibandikie hapo [emoji23] zimekuwa nzuri umezitibia na nini?
Me natamani nizikatie chini kabisa nitafute mafuta mazuri niwe napakaa ila sasa nikinyoa kiuanafunzi naonekana katoto [emoji23] na mawigi siyawezi.
Nzuri mbele 😂 nyumaaa hiii kwanza hazilingani mikato nayonyoa inaniharibu mno.Hizi nzuri sana.
Mimi nywele yangu ikishakua tu kuichana ni mtihani,inauma mno.
Kunyoa zote natisha[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nywele zangu huwa zinakata chanio sometimes [emoji23][emoji23][emoji23]Nzuri mbele [emoji23] nyumaaa hiii kwanza hazilingani mikato nayonyoa inaniharibu mno.
Ukitoka kuoga unakausha chap unapakaa mafuta na kuchana hazitouma. Ila ukisubiri mpaka umalizane na mwili + mavazi utalia
Hebu tuone hizo zinazokata chanuo/chanio/ chana. 😂Nywele zangu huwa zinakata chanio sometimes [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuone nyuma zilivyo[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]Hebu tuone hizo zinazokata chanuo/chanio/ chana. [emoji23]
Jamani hospital me nikishasikia harufu ya madawa ndio nazidi kuumwa.View attachment 1912240
Your Doctor on call
Tuone hivyo hivyo
Jamani hospital me nikishasikia harufu ya madawa ndio nazidi kuumwa.
Nywele zimegoma kuota eti!!View attachment 1911284