Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinyoe
Mimi natamani kusuka ila basi tu kichwa kuwasha...na nasikia huu mkoa wenu mwezi ujao joto linakuja,, najiona kabisa siwezi kusuka
Mwenyewe umesema joto linakuja alafu unanishawishi nisinyoe kweli πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Ngoja tuone Sept itaanzaje πŸ˜‰

Inawezekana wanaokusuka huwa wanakuvuta sana...na kama ngozi ni kavu basi lazima ukereke πŸ₯΄πŸ₯΄ Ushajaribu mafuta yanayosaidia kupunguza muwasho?? Anti dandruff??
 
Usinyoe
Mimi natamani kusuka ila basi tu kichwa kuwasha...na nasikia huu mkoa wenu mwezi ujao joto linakuja,, najiona kabisa siwezi kusuka
September na October daslam ni hoves kabisa πŸ˜‚ ila hiyo miezi nikiwepo uwa nang'aa kinyama.

Miezi ya joto la kukaba, ni mwendo wa kushinda ununio tu.

Kusuka kipaji, kusuka kunahitaji commitment. Me naweza jaribu leo nikashinda kesho, keshokutwa niko kwa saloon za kiume πŸ˜‚
 
Duh kukaa sehemu yenye joto ni msala..nitakimbia.

Mimi nadhani nimesuka kwa muda mrefu Sana hadi sitaki tena kusuka..sasahivi ni mwendo wa kuoga tu kichwa kila siku.
 
Sasa wewe si ushazoea joto

Mimi wa mkoani
.


Hata nikijisuka mwenyewe mabutu ,kesho naamka kichwa kinawasha.
Mafuta huwa napaka yoyote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…