Selfika na JF: Snap it. Show it

Sura...mistari??? Nimetamani kusoma.....
Anzia Ayubu 1:1
Nilipenda sana mazungumzo ya Mungu na Shetani "Mungu anamuuliza Shetani eti umetoka wapi Shetani, Je umemwoma mtumishi wangu Ayubu" Shetani naye anajibu nimetoka huku na huko Duniani.....

Yaani it's like mazungumzo ya watu wenye kufahamiana kwa muda mrefu, na kwa akili za Kibinadamu Mungu alikuwa na uwezo wa Kumkamata Bwana Shetani na Kumwajibisha pengine kumfunga Milele ili sisi tuishi maisha ya raha mustarehe, instead they enjoyed conversation huku Sisi wengine sasa ndiyo tunapewa kazi ya kumshinda Shetani na mambo yake yote ili Twende Mbinguni.

Kwa kweli Mungu ametupa mtihani mgumu sana, yaani Kamanda Sirro anakutana na Jambazi kuu badala ya kulikamata analiacha liendelee kutishia usalama wa watu na Mali zao 😭😭
 
Kweli tumeshindwa kuaminiana, nimemtembelea kijana wangu ofisini kwake amenipa Barakoa Nivae wakati tulikuwa wote nyumbani 😜

Tuendeleze social distance, kuvaa Barakoa na kuosha mikono kwa Maji tiririka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…