Mwendo ameumaliza.. Apumzike kwa Amani.TANZIA TANZIA TANZIA
Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....
Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...
So sad...
Mshana Jr
Duh habari mbaya hii hebu tufanye namna tuweke post kamiliTANZIA TANZIA TANZIA
Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....
Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...
So sad...
Mshana Jr
Dhaaaa aiseeee kweli hakuna aijuaeTANZIA TANZIA TANZIA
Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....
Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...
So sad...
Mshana Jr
Inshallah!!Hapana..mimi hawa dada zangu nawajua...sehemu ya kujishusha ili tu mambo yaende nitafanya hivyo..
We nipe tu huyo dada na utakuja kushuhudia our 50yrs anniversary ya ndoa yetu if God keep us alive.
Pole GalliusTANZIA TANZIA TANZIA
Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....
Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...
So sad...
Mshana Jr
KucheleKuchele dada
Thanks kwa ufafanuzi nimeelewa sasa.Mtu bonge bonge...NOT BONGE , bonge bonge(extra meaty).
May the soul of this great young man rest in power.TANZIA TANZIA TANZIA
Wana selfika na wana jf kwa ujumla usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia...
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko aliko Amina....
Nimeumia sana maana alikuwa ni miongoni mwa rafiki yangu hata nje ya JF...
So sad...
Mshana Jr
Naomba nisiulizwe kwanini nime iZoom hiyo picha to the maximum, na mtu yeyote asihusishwe na maamuzi niliyoamua kuyachukua asubuhi yote hii ππππ»ππ»ππ»Vitamin D + Vitamin MUSIC View attachment 1889244
Bonjour
Duh habari mbaya hii hebu tufanye namna tuweke post kamili
Naomba nisiulizwe kwanini nime iZoom hiyo picha to the maximum, na mtu yeyote asihusishwe na maamuzi niyoamua kuyachukua asubuhi yote hii
Hahahaha umeona kitu sioNaomba nisiulizwe kwanini nime iZoom hiyo picha to the maximum, na mtu yeyote asihusishwe na maamuzi niliyoamua kuyachukua asubuhi yote hii ππππ»ππ»ππ»
Na macho ya Uzee niliyonayo nimeona, wasiwasi wangu ni kama nitatoka salama bafuni bila kumaliza kipande cha Mbuni nilichobeba πHahahaha umeona kitu sio
watoto unao wangapi??.....Vitamin D + Vitamin MUSIC View attachment 1889244
HahahahaNa macho ya Uzee niliyonayo nimeona, wasiwasi wangu ni kama nitatoka salama bafuni bila kumaliza kipande cha Mbuni nilichobeba π
Mungu ampumzishe pahala pema peponi,,TANZIA TANZIA TANZIA