Ukweli ni kwamba wale watu walinijaza upepo hadi nikapiga pafu mbili pale ile wine.
Yaani walinimiminia kabisa pale,wakaanza upya kunijaza upepo,eti si unaona haya ni maziwa kabisa
Bahati nzuri nilipata dharula nikaondoka fasta...bila hivyo yaani ningetoka pale nimelewa.
Nasema uongo
ISO M.CodD