[emoji23][emoji23][emoji23]mimi nimechekeshwa na kimoja, hatari hii asee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimecheka vingi...Na unajua..
Ngoja nitulie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nimechekeshwa na kimoja, hatari hii asee!
Halafu hicho unachosema hata sikijui!
Kuna namna ile picha ya yna, nimeangalia tu nikaona kitu, kikanikumbusha kitu.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa na usikijue tuu..Kwani yana muda sasa?
Umechekeshwa na nini? Nishirikishe basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna namna ile picha ya yna, nimeangalia tu nikaona kitu, kikanikumbusha kitu.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sawa... Nisamehe Mimi..[emoji18][emoji18][emoji18]Utakuwa umechanganya ID wewe[emoji23][emoji23]
HahahahaAisee [emoji16] tupia ya lindoni .
Huyo wa kwenye font fedi anavuta bangi ?
Pasafi kama mitaa ya Ulaya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dogo!!!
Umeona vitu Baba yako alivyoamua kuja navyo? Nacheka mimi[emoji23][emoji23]
Shunie hajambo ?
Yupo wapi ?Hajambo mwaya
nikiona watu wanapendana nakumbuka mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1885290
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mnalewa wapi ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa hivi mkikutana mnanyweshana sumu....!Imenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hahahhahahaha mlikua na miaka mingap??Imenikumbusha mimi na Ex wangu tulikuwa mpaka tunanyweshana soda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]