Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kwahiyo unataka Irudiwe Irudiwe [emoji1]
Hiyo siyo suti,ni KaundaπππUmependeza na hiyo suti
Ila huonekani vizuri.
Shikamoo kakaView attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU πππ»ππ»
Usijali dear HS, itarudiwa kama ulivyoshauri πEeh ndiwo; irudiweeeee
AiseeView attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU πππ»ππ»
Marahaba rafiki, naomba mlinzi aniruhusu nije nikusalimie. Nimemwomba mara 3 amenikatalia ππππ»ππ»Shikamoo kaka
Kifupi hauruhusiwi kwa sasa salimia nitasikia broMarahaba rafiki, naomba mlinzi aniruhusu nije nikusalimie. Nimemwomba mara 3 amenikatalia ππππ»ππ»
Hi Chakorii vilips flani hivi, za sikuuAsante Daddy SYB kwa kunilindaπ§ββοΈπ§ββοΈ
Wanawake mkivaa aina hii ya suit na kama umejaaliwa, unatokelezea munoπAisee
Ilo vazi uwa linaniua π€ͺ
Dashiki suit on point.
Ila picha umeibania.... Iongezweeee
La kimasai iloo.....Takwenyaaa?
Sijui huyu mlinzi umemtoa Nchi gani, yaani nimempa Takrima ya elf 5 nzima ameikataa kuniruhusu niingie??Kifupi hauruhusiwi kwa sasa salimia nitasikia bro
HahahahaKifupi hauruhusiwi kwa sasa salimia nitasikia bro
Sawa bro nakusikiaSijui huyu mlinzi umemtoa Nchi gani, yaani nimempa Takrima ya elf 5 nzima ameikataa kuniruhusu niingie??
Usifanye hivyo jirani, nilitaka nikusalimie kwa ukaribu π
HahahahaHiyo siyo suti,ni Kaundaπππ
Mkuu nibariki tumoja mpendwaHahahaha
Ni sutiHiyo siyo suti,ni Kaunda[emoji1][emoji1][emoji1]
Naomba niruhusu niingie nikusalimie jirani, alafu kwangu gesi imekata naomba nije nipashe Kiporo changu cha wali πSawa bro nakusikia
Hahahaha. Tumoja nn ? MpendwaMkuu nibariki tumoja mpendwa
HahahahaNaomba niruhusu niingie nikusalimie jirani, alafu kwangu gesi imekata naomba nije nipashe Kiporo changu cha wali π
Tupicha jamaniiiHahahaha. Tumoja nn ? Mpendwa
Gesi iliyokuwepo kwangu ni kwa matumizi mengine mpendwaNaomba niruhusu niingie nikusalimie jirani, alafu kwangu gesi imekata naomba nije nipashe Kiporo changu cha wali π