Ndio ndio JP alitaka hadi kumuoza mtoto wake wakike wakatianazindua hicho kiwandaππYupo vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio JP alitaka hadi kumuoza mtoto wake wakike wakatianazindua hicho kiwanda[emoji23][emoji23]
Mama Mchungaji nini mbaya? Nikuletee nini jirani ?Weeeeeeeeeeeeeee
Matajiri wa mbozi hao[emoji4]Hii kahawa ni [emoji91][emoji91]
Matajiri wa Mbozi [emoji848]
Wapumzike kwa Amani.TANZIA
Taarifa zikizotufikia hivi punde ni kuwa tumewapoteza Bw na Bibi Charles Keenja hapo Seifee Hospital.
RIP Bw na Bibi Charles Keenja[emoji2297][emoji2297][emoji24][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Mama Mchungaji nini mbaya? Nikuletee nini jirani ?
Sawa jirani, see you soonAisee zabibu na wale kuku wa kuchoma
Mbona hauonekani vizuri sasa?View attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU [emoji1][emoji1322][emoji1322]
Umependeza na hiyo sutiView attachment 1881392
Chat na Picha
CC Nuzulati , Chakorii , Heaven Sent , Saint Anne ,Karma
Dear Chilita mbona umechagua jina gumu hivyo la Kigogo?MBUKWENYU [emoji1][emoji1322][emoji1322]
Utanisamehe jirani, picha hiyo ni ya mwaka 77 kwahiyo quality haikuwa nzuri kwa device niliyotumia enzi zile ππππ»ππ»Mbona hauonekani vizuri sasa?
Shida sio quality, yani umei-crop sana; fanya kuiongezaUtanisamehe jirani, picha hiyo ni ya mwaka 77 kwahiyo quality haikuwa nzuri kwa device niliyotumia enzi zile [emoji1][emoji87][emoji1322][emoji1322]
Rafiki picha yangu ya Ujana enzi za Mwalimu, kwahiyo Camera yenyewe haikuwa na ubora sana kama hizi zenu za kidigitali πππ»ππ»Umependeza na hiyo suti
Ila huonekani vizuri.
Kwahiyo unataka Irudiwe Irudiwe πShida sio quality, yani umei-crop sana; fanya kuiongeza